HII BLOGI NI MAALUM KWA AJILI YA KUWAFAHAMISHA WATU WOTE NJIA YA KWELI YA KWENDA MBINGUNI/PEPONI. NJIA HIYO NI YESU KRISTO PEKEE. WALIOMWAMINI WOTE NI WALIOBATIZWA KATIKA MAJI MENGI, WAMEOKOKA NA KUJAZWA/KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU NA NENO LA KWELI.
Search This Blog
Monday, December 10, 2012
MCHUNGAJI: SAMWEL S. NDAKI
Mchungaji Samwel S. Ndaki wa Kanisa la Pentekoste (T), Parishi ya Bagamoyo akisisitiza mambo fulani katika kipindi cha matangazo kanisani hapo siku ya Jumapili, tarehe 9/12/2012.
No comments:
Post a Comment